Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,
U
tamaduni na Michezo kuhusu utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi
ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka
2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
jana,[Picha na Ikulu.] 06/09/2016.

0 comments:
Post a Comment