Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Wizara ya Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto,
(haupo pichani ) kuhusu utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi
ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,leo
wakati wa mkutano wa siku moja uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto kuhusu Programu ya utekelezaji wa Ilani
ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka
2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 07/09/2016.
0 comments:
Post a Comment