Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za mwisho kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki,katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Manazi mmoja Mjini Unguja jana,marehemu atazikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha kumbukumbu cha Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki,katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Manazi mmoja Mjini Unguja jana,marehemu atazikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe Zanziba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha kumbukumbu cha Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki,katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Manazi mmoja Mjini Unguja jana,marehemu atazikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapa pole jamaa na ndugu wa Marehemu Brigedia Jejerali mstaafu Adam Mwakanjuki,wakati wa kutoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu,katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilshi Mnazi mmoja Mjini Unguja .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapa pole watoto wa Marehemu Brigedia Jejerali mstaafu Adam Mwakanjuki,wakati wa kutoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu,katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilshi Mnazi mmoja Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimpa pole mjane wa Marehemu Brigedia Jejerali mstaafu Ikupi Adam Mwakanjuki,wakati wa kutoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu,katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilshi Mnazi mmoja Mjini Unguja leo.
Baadhi ya wananchi,Jamaa na ndugu wa Marehemu waliofika kutoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki,katika viwanja vya zamani Baraza la wawakilishi Mjini Unguja jana.
[Picha na ramadhan Othman.Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment