Home » » Picha Za Yale Maandamano Ya Wanaharakati Wanaodai Kura ya Maoni Dhidi ya Muungano Zanzibar

Picha Za Yale Maandamano Ya Wanaharakati Wanaodai Kura ya Maoni Dhidi ya Muungano Zanzibar






Mdau
wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya
Muunganoakisindikizwa na polisi kuondoka sehemu ya maandamano




Kiongozi
wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya
Muungano Rashid Salum Adiy akizungumza muda mfupi baada ya kushikwa na
polisi kwa kufanya maandamano kinyume na sheria




Kiongozi wa kikundi cha Wazanzibari wanaodai kuitishwa kura ya maoni dhidi ya Muungano Rashid Salum Adiy akizungumza na simu.




Jeshi la Polisi likitoa tahadhari kwa wananchi waliofika katika viwanja
vya baraza la wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni juu ya
Muungano






Kikosi maalum cha Polisi cha kuzuia fujo kikijipanga kukabiliana na wanaharakati waliofika baraza la Wawakilishi jana




Baadhi ya Wanaharakati waliokuwepo kwenye viwanja vya baraza la
wawakilishi wakisubiri hatima yao ya kutaka kuonana na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho.






Hashim na wenzake wakiwa katika gari la Jeshi la Polisi likiwachukua na
kuwapeleka Madema, baada ya kukusanyika katika viwanja vya baraza la
wawakilishi wakidai kuwepo kwa kura ya maoni itakayoamua kuwepo au
kutokuwepo Muungan.Picha na Habari na Mdau Othman Maulid

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa