Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa Kisiwa cha Pemba,
baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao
pamoja katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wananchi wa Kisiwa
cha Pemba, katika Futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao kwa pamoja
katika Ukumbi wa Makonyo Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012.

Wake wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal (katikati) Mama
Asha Bilal (wa pili kulia) wakijumuika na wananchi katika hafla ya futari ya
pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Rais iliyofanyika katika Ukumb wa Makonyo
Chakechake Pemba jana Agosti 14, 2012. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

0 comments:
Post a Comment