Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa
Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa
CCM,alipowasilikatika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar,kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika jana

Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid
Karume, akiendesha kikao cha kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar,wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake,
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani
Abeid Karume,wakiwa katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar,kilipofanyika kikao hicho jana,Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu-Zanzibar
0 comments:
Post a Comment