Home » » Zoezi la uandikishaji Sensa ya watu na makaazi laendelea Vyema Kaskazini B Unguja

Zoezi la uandikishaji Sensa ya watu na makaazi laendelea Vyema Kaskazini B Unguja




Karani wa Sensa akiwa katika kazi ya kuwaandika watu katika kitongoji
cha Kiongwe Mkwambani Shehia ya Mafufuni Bumbwini ambapo watu wa kijiji
hicho awali waligoma kuandikisha kutokana na madai ya Elimu ya
uwandikishaji kutokuwafikia vya kutosha.

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini "B" Hamis Jabir Makame akizungumza na
Waandishi wa Habari kuhusiana na Zoezi la Sensa linaloendelea katika
Mikoa na Wilaya Nchini kote,ambapo katika Wilaya hiyo zoezi hilo
linakwenda vizuriPicha na Yussuf Sima,Maelezo-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa