Home » » Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar uwanja wa Amaan zanzibar jana. Mtende iliinyuka Mundu mabao 2 - 0.

Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar uwanja wa Amaan zanzibar jana. Mtende iliinyuka Mundu mabao 2 - 0.



 Mshambuliaji wa mundu, Mfanyeje Ndalo akimiliki mpira mbele ya walinzi wa Mtende, Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde.
   Walinzi wa timu ya mtende Mussa Juma (kushoto) na Jumanne Chikunde wakimzuia mshambuliaji wa Mundu, Mfanyeje Ndalo jana kwenye uwanja wa Amaan zanzibar. Mtende 2 Mundu 0


Mshambuliaji wa Mundu, Ibrahim Rajab (mbele) akipambana na Ali Salum wa Mtende, ligi kuu ya Grand malt ya zanzibar jana
Mtende ilipata ushindi wa mabao 2-0.
Picha na Martin Kabemba

Intellectuals Communications Limited

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa