Home » » Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Salimin Amour Akabidhiwa Shahada ya Uzamini (PHD)ya Heshima ya Chuo Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)

Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Salimin Amour Akabidhiwa Shahada ya Uzamini (PHD)ya Heshima ya Chuo Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)


 MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar
(SUZA) Prof.Idris Ahmada Rai (kushoto) akimkabidhi shahada ya uzamivu
(PHD)  ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Taifa
cha Zanzibar.Rais mstaafu wa awamu ya tano wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani mjini Zanzibar kulia
mjumbe wa Baraza la Chuo hicho Mohammed Said Dimwa
 MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar (SUZA) Prof.Idris Ahmada Rai (kushoto) akimkabidhi shahada ya uzamivu
(PHD)  ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Taifa
cha Zanzibar.Rais mstaafu wa awamu ya tano wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani mjini Zanzibar
RAIS Mstaafu wa Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma
katikati akizungumza na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
mara baada ya kumkabidhi shahada ya Uzamivu (PHD) ya Heshima ya chuo hicho,
kushoto Makamu Mkuu wa SUZA, Prof.Idris Ahmada Rai  na Mjumbe wa Baraza la Chuo Mohammed Said
Dimwa, katika makaazi ya Rais huyo Migombani mjini Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa