Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali,alipowasili katika viwanja
vya Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba,aliposhiriki katika
Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza jana,.

Shein,akiwa Mwenyekiti wa Semina ya Uimarishaji uhusiano baina ya
Viongoziwa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,akiteta jambo
na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,kabla ya kuifungua Semina hiyo katika Ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel jana, Wesha Pemba

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Mwinyihaji makame Mwadini akitoa nasahha zake na kumkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,kuifungua Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji Uhusiano baina ya
Viongozi wa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,katika
ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akifungua Semina ya tatukuhusu Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa
Zanzibar,katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akifungua Semina ya tatu kuhusu Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba

Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Pemba,wakiwa
katika Semina ya siku tatu Kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi
wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza jana,chini
ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel
Wesha Pemba
Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Pemba,wakiwa
katika Semina ya siku tatu Kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi
wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza jana,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi Misali Sunset Beach
Hotel Wesha Pemba.
Picha zote na Ramadhan Othman,ikulu-Zanzibar

0 comments:
Post a Comment