Home » » Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Omar Yussuf Mzee Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Omar Yussuf Mzee Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumza na Waandishi wa habari kuhusiana na makubaliyano yaliyotiwa saini baina ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Serekali ya China hivi karibuni, mkutano huo umefanyika katika Wizara ya Fedha Vuga. 
Sehemu ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Omar Yussuf Mzee akizungumzia makubaliyano yalitiwa saini baina ya  Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Serekali ya China hivi karibuni,

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa