Baadhi
ya abiria wakiwasili na kuondoka kwenye Bandari ya mji wa Zanzibar,
ambapo kwa sasa baada ya kukarabatiwa na kujengwa upya kumekuwa na
utaratibu mzuri kwa abiria wanaoondoka na kuwasili kwenye bandari hiyo
na pia masuala ya usalama yameimarishwa na kwa upande wa wageni ambao si
raia huelekezwa kupita njia yao ili kufuata taratibu za ukaguzi na
vibari husika. HONGERA BAKHRESA
Sehemu ya daraja la kuegesha Meli za Azam ikiwa katika muonekano mpya....
Hii ndiyo picha na Taswira ya mji wa Zanziba ikikupokea wakati ukianza kutia Nanga katika Bandari hiyo.
Picha na Sufiani Mafoto Blog
0 comments:
Post a Comment