Home » » MAALIM SEIF AFUTARISHA WATENDAJI WA CUF NYUMBANI KWAKE MBWENI

MAALIM SEIF AFUTARISHA WATENDAJI WA CUF NYUMBANI KWAKE MBWENI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana mikono  na Sheikh Mohd Khamis (aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Mjini, baada ya futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti wa CUF, Juma Duni Haji, wakati wa futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
Sheikh Mohd Khamis akiongoza Sala ya Magharibi nyumbani kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Mbweni Zanzibar.
Watendaji wa CUF wakipata futari waliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiitikia dua baada ya futari ya pamoja na watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na mawasiliano ya umma (CUF), Salim Bimani. (Picha na Salmin Said, OMKR)

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa