MKUU wa Polisi
Wilaya ya Mjini, Ali Makame (wa pili kushoto) akiangalia gari
iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu moja na
shilingi za kitanzania milioni tano, muda mfupi baada ya kufika eneo la
tukio katika eneo la Mlandege mjini Zanzibar.
ASKARI Polisi
wakiwa wameizunguka gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa
ni euro elfu moja na shilingi za kitanzania milioni tano, tukio hilo
limetokea majira ya saa saba mchana katika eneo la Mlandege mjini
Zanzibar leo. Mmiliki wa gari hiyo aliegesha gari yake na kuingia
msikitini kwa kusali sala ya Ijumaa katika msikiti jirani na maengesho
ya gari katika eneo la mlandege.
(Picha na Haroub Hussein).
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment