Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akioonmgoza kikao cha mkutano wa 8 wa Baraza la
Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Jumanne Desemba 16, 2014
kwenye ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mjini Unguja, (kushoto), ni
Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Katibu
Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahaya Mzee
Baadhi ya washirika wakifuatilia mjadala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja kushiriki katika
Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara la Zanzibar (ZBC) lililofanyika leo
Jumanne Desemba 16, 2014
Mfanyabiashara Taufuk Salum Turky alipokuwa akitoa mchango wake na
kuishauri Serikali kuchukua hatua za haraka katika kutoa maamuzi kwa
miradi mbali mbali inayotaka kufunguliwa na wafanyabiashara wakati wa
Mkutano wa 8 wa Baraza la Biashara Zanzibar (ZBC) ulioendelea leo
katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
Mhasibu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar
akijibu masuala yaliyoulizwa wakati wa Mkutano wa 8 wa Baraza la
Biashara la Zanzibar (ZBC) ulilofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani
Hotel Mjini Unguja ambapo mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment