RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akipata maelezo ya vyakula vya asili kutoka kwa Mzee wa
Makunduchi Bi.Amina Ubwa Ali,baada ya kulifungua Tamasha la Mwaka Kogwa
2024, linalofanyika katika viwanja vya Kae Kuu Makunduchi Wilaya ya
Kusini Unguja 16-7-2024.na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
Home »
» RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA TAMASHA LA MWAKA KOGWA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO 16-7-2024
0 comments:
Post a Comment