RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Zhang Xinwen Makamu
Mwenyekiti wa (CPPCC) kutoka Jimbo la Shandong Jamhuri ya Watu wa China,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 17-7-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Ujumbe kutoka Jimbo la Shandong Jamhuri ya Watu wa
China, ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa (CPPCC) Mhe.Zhang Xinwen
(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-7-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Makamu
Mwenyekiti wa (CPPCC) kutoka Jimbo la Shandong Jamhuri ya Watu wa China
Mhe. Zhang Xinwen, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-7-2024.(Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment