RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussei Ali
Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Dini na Wananchi katika
maziko ya aliyekuwa Mke wa Marehemu Sheikh.Hyder Jabir Saleh
E-Farsy,Marehemu Zulekha Ahmed Abdallah,yaliyofanyika katika viwanja vya
Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
.(Picha na Ikulu).
Home »
» RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUKA NA WANAFAMILIA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA MAREHEME ZULEKHA AHMED ABDALLAH
0 comments:
Post a Comment