RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikata utepe kuifungua Bustani ya Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar, iliyoko jirani na Hospitali ya Mnazi Mmoja,
ufunguzi huo uliyofanyika leo 15-7-2024, na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti
wa Kampuni ya Infinity Group Bw. Samuel Saba na ( kushoto kwa Rais)
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan
Soraga.(Picha na Ikulu)
Home »
» RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEIFUNGUA BUSTANI YA MNAZI MMOJA MJI MKONGWE JIJINI ZANZIBAR LEO
0 comments:
Post a Comment