RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wazalishaji wa Sukari katika
Nchi SADC, ufunguzi huo uliyofanyika leo 10-7-2024 katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wazalishaji
Sukari Tanzania (TSPA)Bw.Seif Ali Seif, baada ya kuufungua Mkutano wa
Wazalishaji wa Sukari kwa Nchi za SADC, unaofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-7-20214.(Picha na Ikulu)
0 comments:
Post a Comment