Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa Afrika nchini Marekani
Amina Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na
chama chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo
tofauti, kwenye uwanja wa ndege wa Pemba, alipowasili kisiwani humo kwa
ajili ya kusaka wadhamini.
BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa Afrika nchini Marekani Amina
Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama
chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, akizungumza na wadhamini wake wa mkoa wa kaskazini Pemba.
BALOZI wa kudumu kwenye baraza la umoja wa Afrika nchini Marekani Amina
Salim Ali, ambae nae ameshatangaaza nia ya kuomba kuteuliwa na chama
chake cha CCM, kuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, akionyesha majina ya wanaccm waliomdhamini wa mkoa wa kusini
Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
0 comments:
Post a Comment