Wananchi waliobeba
jeneza la mwili wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake
Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali ya mapinduzi na
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika mazishi ya Marehemu Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe
Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha
na Ikulu.]15/08/2016.
0 comments:
Post a Comment