Home » » RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA PEMBA KATIKA UWANJA WA GOMBANI YA KALE KISIWANI PEMBA.

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA PEMBA KATIKA UWANJA WA GOMBANI YA KALE KISIWANI PEMBA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kabla ya kuhutubia mkutano katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wananchi wa Pemba katika uwanja wa Gombani ya kale Chake chake kisiwani Pemba.

0 comments:

Post a Comment

Support by Tone multimedia company Limited
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa