Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa
Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(wa nne kulia)
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu.]
13/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika mkutano Mpango wa
Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka
2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,(kushoto)
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,[Picha na Ikulu.]
13/09/2016.
Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Kiongozi Dkt.Abduhamid
Yahya Mzee(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe,Issa haji Ussi (Gavu),Mshauri wa Rais Utamaduni
Mhe,Chimbeni Kheir Chimbeni na Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi
Nd,Salmin Juma Amour wakiwa katika mkutano wa Wizara hiyo kuhusu Mpango
wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka
2015-2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 13/09/2016.
Baadhi
ya Viongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi wakiwa katika mkutano Mpango wa Utekelezaji wa Ilani ya
Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM mwaka 2015-2020 uliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,Chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ikulu.] 13/09/2016.
0 comments:
Post a Comment