Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa zawadi maalum mwanafunzi Ali Hemed Ali.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi zawadi iliyotolewa na wanafunzi wa Mahusiano ya Kimataifa Mwalim Fakih Kombo Faki katika sherehe za mahafali ya saba ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia wahitimu wa kada tofauti wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar. Sherehe hiyo imefanyika Tunguu Wilaya ya kati Unguja.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (wakatikati) waliokaa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliofanya vizuri zaizi Chuoni hapo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipoke mandamano ya wahitimu wa kada tofauti waliomaliza mafunzo yao ya Diploma katika Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar.
Mwanafunzi Mbarouk Kheir Othman akisoma risala ya wanafunzi katika sherehe za mahafali ya saba ya Chuo cha Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar.
Wahitimu wa kada ya mahusiano ya kimataifa wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kuwatunuku vyeti katika sherehe za mahafali ya saba ya Chuo hicho.
Baadhi ya wageni walikwa katika sherehe hizo.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment