Kaimu Mkuu wa Taaluma wa Chuo cha Fedha Chwaka Zanzibar Dkt. Iddi Salum Haji akitoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wajasiriamali wa Kijiji cha Kitogani kilichopo Wilaya ya Kusini Unguja
Kaimu Mkuu wa Idara ya Masomo ya Jumla na Mafunzo Mafupi Zanzibar Nd. Said Mohammed Khamis akitoa ufafanuzi juu ya mafunzo hayo kwa Wajasiriamali wa Kijiji hicho.
Baadhi ya Wajasiriamali waliohudhuria katika mafunzo ya Ujasiriamali wakisikiliza kwa makini mafunzo hayo.
Afisa Tawala Wilaya ya Kusini Unguja Bi. Kibibi Mwinyi ambae ndiye Mgeni Rasmi wa kwanza kulia akiwasisitiza Wajasiriamali wa Kijiji cha Kitogani kuyafanyia kazi Mafunzo waliyoyapata katika Semina hiyo.
Wakufunzi wa Mafunzo ya Ujasiriamali wakiwa katika picha ya pamoja na Wajasiriamali wa Kijiji hicho
Wakufunzi wa Ujasiriamali wakiwa katika picha ya pamoja.
0 comments:
Post a Comment