Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifungua Semina ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuhusiana na Masuala ya Sensa ya Watu na Makazi. Semina hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Watu wa China Bw. Lu Youqing akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hapo katika Ofisi ya Balozi Seif iliyopo kwenye jengo la Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Balozi Lu Youqing alifika Ofisini kwa Makamui wa Pili wa Rais Balozi Seif kujitambulisha Rasmi.
Picha Faki Mjaka-Maelezo
Picha Faki Mjaka-Maelezo
0 comments:
Post a Comment