Home » » Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelea Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nakukutana na Mwenyekiti wa Tume jJaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Atembelea Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nakukutana na Mwenyekiti wa Tume jJaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wajumbe wa tume ya marekebisho ya katiba Tanzania wakati alipotembelea ofisi za Tume hiyo jiji Dar Es Salaam tarehe 11/05/2012. Pamoja nae ni Mwenyekiti wa tume hiyo jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wajumbe wa tume ya marekebisho ya katiba Tanzania wakati alipotembelea ofisi za Tume hiyo jiji Dar Es Salaa tarehe 11/05/2012. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania, Mathias Chikawe. Wengine kutoka kulia ni katibu wa tume hiyo Assaa Ahmed Rashid na Mwenyekiti jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba
 Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad juu ya hatua waliyofikia katika maandalizi ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi juu ya katiba, wakati Maalim Seif alipotembelea ofisi za tume hiyo jijini Dar es Salaam tarehe 11/05/2012. Kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania, Mathias Chikawe.
 Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad juu ya hatua waliyofikia katika maandalizi ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi juu ya katiba, wakati Maalim Seif alipotembelea ofisi za tume hiyo jijini Dar es Salaam
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Mathias Chikawe wakati alipotembelea ofisi za tume ya marekebisho ya katiba tarehe 11/05/2012. Kulia ni  Mwenyekiti wa tume hiyo jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba.Picha, Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa