Home » » MAZISHI YA MPIGA PICHA WA HABARI MAELEZO ZANZIBAR HAMAD HIJA HAMADI

MAZISHI YA MPIGA PICHA WA HABARI MAELEZO ZANZIBAR HAMAD HIJA HAMADI


Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzí


Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakimsalia aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar.


Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakibeba jeneza la aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar


Wanafamilia pamoja na Waandishi wa Habari mbalimbali wakiwa katika mazishi ya  aliekuwa mpiga Picha wa Idara ya Habarí Maelezo Zanzibar Marehemu Hamad Hija aliefariki leo Hospitali kuu ya Mnazi Mmoja Zanzíbar.
PICHA KWA HISANI YA MAELEZO ZANZIBAR

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa