Home » » Rais Dk. Shein akutana na Balozi wa Msumbiji na Sweden

Rais Dk. Shein akutana na Balozi wa Msumbiji na Sweden


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana  na  Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Amour Zakaria aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Msumbiji Nchini Tanzania Amour Zakaria aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,kwa kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Lennarth Hjelmaker,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa  Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Lennarth Hjelmaker,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa  Rais.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa