Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na
Daktari bingwa wa kufanya uchunguzi wa maiti wa ajali kupitia uchunguzi
wa kuchukua vinasaba DNA, Dk. Ahmed Makata, Makamu alipotembelea eneo
maalum la kuwekea miili ya maiti wa ajali ya Boti katika viwanja
maisara.
0 comments:
Post a Comment