Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi
Daktari akitowa huduma ya kwanza kwa mmoja wa majeruhi wa boti iliozama ikiktokea Dar-es-Salaam kuelekea Zanzibar
Mwokoaji akiwa na mmoja wa maiti wa ajali hiyo
Majeruhi wakiwa katika mgongo wa boti hiyo wakisubiri kuokolewa.
Baadhi ya Abiria wakiwa katika moja ya chombo cha kuokolea wakielea baharini wakisubiri kuokolewa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa katika Eneo
la Bandari akishuhudia kuletwa kwa majeruhi mbalimbali waliookolewa
katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar
na ikiwa na abiria 250.
la Bandari akishuhudia kuletwa kwa majeruhi mbalimbali waliookolewa
katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar
na ikiwa na abiria 250.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Amer Kificho pamoja na mawaziri
mbalimbali wakiwa katika Eneo la Bandari wakishuhudia kuletwa kwa
majeruhi mbalimbali waliookolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko
katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
mbalimbali wakiwa katika Eneo la Bandari wakishuhudia kuletwa kwa
majeruhi mbalimbali waliookolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko
katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad
Askari wa Vikosi mbalimbali wakiwa katika kazi ya Uokozi kwa Abiria
waliokuwa katika Meli ya Star Gate ambayo iliozama katika ikiwa imebeba
abiria 250 huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar.
waliokuwa katika Meli ya Star Gate ambayo iliozama katika ikiwa imebeba
abiria 250 huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar.
Moja ya maiti ikiwa imebebwa na askari
Majeruhi alieokolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
Abiria
waliyookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya
Chumbe Zanzibar.
waliyookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya
Chumbe Zanzibar.
Raia wa kigeni waliookolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250
Askari wa JWTZ wakiwa wamejipanga wakati wa zoezi la kupokea maiti.
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Hamad Masoud Hamad akiwa katika
hali ya huzuni Baada ya kushiriki katika uokoaji na kuwaona
Majeruhiwaliookolewa katika Meli iliozama ya Star Gate wakiteremka hapo
Bandarini Zanzibar..PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
hali ya huzuni Baada ya kushiriki katika uokoaji na kuwaona
Majeruhiwaliookolewa katika Meli iliozama ya Star Gate wakiteremka hapo
Bandarini Zanzibar..PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment