Home » » Dk Ali Shein Azindua Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Dk Ali Shein Azindua Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Uongozi wa Wzara ya Kilimo na Maliasili,baada ya kuzindua rasmi  mashine za Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) katika hafla iliyofanyika leo huko shamba la Kilimo la Serikali,  Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(wa sita kushoto)akiangalia  Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kufanya  uzinduzi wa Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati  Mkoa waKusini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwasha Mashine ya Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mashine hizo,zilizonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi zikiwa jumla 14 katika kuboresha hatua za Mapinduzi ya Kilimo,katika Shamba la Mbegu Bambi ,Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Ukitoka katika mashine ya  Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kuzindua mashine  hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiangalia Mpunga Uliovunwa kwa kutumia  mashine ya  Kuvunia Mpunga,(Combine Harvester) baada ya kuzindua mashine  hizo katika shamba la Kilimo la Serikali huko Bambi Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja  leo.
Chanzo:Kilinyepesi blog

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa