Home » » Dk.Shein akutana na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika UN

Dk.Shein akutana na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika UN



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Tuvuko Manongi,mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.katikati Naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Tuvuko Manongi,mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.(kushoto) ni Naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi Tuvuko Manongi,Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,(kushoto)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.katikati naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa