Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Zanzibar ukisalimiana na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake
Vuga Mjini Zanzibar kuwasilisha mchango kwa ajili ya mfuko wa Maafa na
harakati za Sensa ya Watu nan Makazi Tanzania.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake
Vuga Mjini Zanzibar kuwasilisha mchango kwa ajili ya mfuko wa Maafa na
harakati za Sensa ya Watu nan Makazi Tanzania.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na
Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Zanzibar uliofika Ofisini
kwake kutoa mchango wa Maafa kutokana na ajali ya Meli ya M.V.Skagit na
Harakati za Sensa Nchini Tanzania.
Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Zanzibar uliofika Ofisini
kwake kutoa mchango wa Maafa kutokana na ajali ya Meli ya M.V.Skagit na
Harakati za Sensa Nchini Tanzania.
Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Zanzibar Bwana Justin Stephen
Justin Nandende akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi Mchango wa Shilingi milioni Nne
{ 4,000,000/- }. Kati ya hizo Shilingi Milioni mbili kwa ajili ya Mfuko
wa Maafa Zanzibar na Shilingi MilioniMbili kwa ajili ya harakati za
Sensa.
Hafla hiyo imefanyika Ofisini kwa Balozi Seif Vuga Mjini Zanzibar.
Menaja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Zanzibar Bwa. Justin Stephen
Justin Nandonde akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Picha na Saleh Masoud Mahmoud –Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Justin Nandonde akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Ali Iddi hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Picha na Saleh Masoud Mahmoud –Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
0 comments:
Post a Comment