Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki, akiwa nje ya Jengo
la Ofisi ya Tume Maisara, baada ya kuzitembelea Ofisi hizo kuona
,maendeleo yake.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akizungumza na Katibu
wa Tume na Msaidizi wake baada ya kumaliza kutembela Ofisi hizo za Tume
Zanzibar.

Katibu wa Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Tanzania Assaa Rashid,
akitowa maelezo kwaNaibu Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania alipofanya
ziara ya kutembelea Ofisi za Tume Zanzibar.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Angellah Kairuki, akizungumza
na Maofisa wa Tume ya Mabadfiliko ya Katiba Tanzania alipokuwa
akitembelea Ofisi za Tume zilioko Zanzibar katika Jengo la Mfuko wa
Barabara Maisara Zanzibar.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Angellah Kairuki, akitembelea
Ofisi za Tume zilioko katika jengo la Mfuko wa Barabara Maisara kuona
maendeleo ya Ofisi hizo zinaliopo Zanzibar.akiwa na Maofisa wa Tume ya
Marekebisho ya Katiba Tanzania.(kushoto) Katibu wa Tume Assaa Rashid.

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah KKairuki, akizungumza na
Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tamzania Assaa Rashid alipofika
katika Ofisi za Tume hiyo zilioko Zanzibar katika maeneo ya Maisara
katika Jenjo la Mfuko wa Barabara Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment