Home » » Taswira:Flamingo ndani Bwawa la Bwawani Zanzibar

Taswira:Flamingo ndani Bwawa la Bwawani Zanzibar



NDEGE aina ya Flamingo wakiwa katika
eneo la bwawa la Hoteli ya Bwawani. Ndege hawa ambao ni adimu mno kuonekana wamefika
Zanzibar kwa mara ya kwanza na  kucheza
kwa muda mrefu katika bwawa hilo,ambalo licha ya umuhimu wake limekuwa
likichafuliwa kwa kutupwa taka na kufukiwa, hali ambayo inahatarisha maisha ya
viumbe kama hawa.

Picha Zote na Othman Mapara-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa