Home » » Waziri Wa Viwanda Zanzibar Aongea Na Wanahabari

Waziri Wa Viwanda Zanzibar Aongea Na Wanahabari


 Mwandishi wa Habari kutoka Idara ya Habari Maelezo akiuliza maswali kwa Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui (hayupo pichani)alipozungumza na Waandishi hao kuhusiana na siku ya kuzindua Mfuko wa Walemavu,hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
 Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu siku ya Uzinduzi wa Mfuko wa Walemavu na kuwataka Wananchi wote pamoja na wahisani waweze kuuchangia mfuko huo ili kuleta mafanikio na maendeleo kwa Walemavu.hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akisisitiza jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani )kuhusu siku ya Uzinduzi wa Mfuko wa Walemavu na kuwataka Wananchi wote pamoja na wahisani waweze kuuchangia mfuko huo ili kuleta mafanikio na maendeleo kwa Walemavu.hafla iliofanyika Bwawani Mjini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.


0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa