Home » » Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Aongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Aongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, pia Katibu Mkuu
Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,wakati alipowasili katika viwanja vya
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,kuiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano
Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili.        
  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akichangia Mada
katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,ikiongozwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),na
Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee,(kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiongoza Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,(kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi
Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee
  Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Bi Amina Khamis Shaaban,alipokuwa akitoa
mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II,katika
Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji
katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Saleh Mohamed Jidawi,alipokuwa akichangia
mada katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili
katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanziba,Dk.Omar
Dadi Shaajak.
Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti katika Wizara ya Katiba na Sheria,
Daima  M.Mkalimoto,alipokuwa akichangia mada ya "Mpango Mkuu wa
Ufuatiliaji na
Utekelezaji wa Mkuza II Zanzibar",katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano
Baina
ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort
 Baadhi ya Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi
wakisikiliza Mada zilizotolewa katika Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya
Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mainduzi ya
Zanzibar,ikiwa ni siku ya pili katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini
ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa