Home » » DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA OFISI YA RAIS,TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ LEO

DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA OFISI YA RAIS,TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ungozi wa Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na idara Maalum za SMZ katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo tatu ya mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Zanzibar pamoja na Maafisa Tawala wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo tatu ya mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa