Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar (ZJMMC) Rashid Omar
akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali
Mbarouk katika mkutano na Wanafunzi wa chuo hicho ngazi ya Diploma na
Sataficate katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)wakimsikiliza
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo
pichani wakati akitoahotuba kwa wanafunzi haokatika Ukumbi wa Sanaa
rahaleo studio Zanzibar.
Waziri
wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akiwahutubia
Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC) katika ukumbi wa Sanaa
rahaleo studio Zanzibar.
Mwanafunzi
Mwajuma Ali Kombo wa chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)akiuliza
maswali kwa Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali
Mbarouk alipokutana na Wanafunzi hao na kuwataka kuelezea matatizo yao
katika Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
Mwanafunzi
Mwita Abdalla wa chuo cha Uandishi wa Habari (ZJMMC)akiuliza maswali
kwa Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk
alipokutana na Wanafunzi hao na kuwataka kuelezea matatizo yao katika
Ukumbi wa Sanaa rahaleo studio Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment