Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Amran Masoud Amran kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,kabla ya uteuzi huo
alikuwa Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani
Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jiono,kabla ya uteuzi
huo alikuwa Afisa Mdhamini Wizra ya Biashara,Viwanda na Masoko
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Jabu Khamis Mbwana kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni
Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi huo
alikuwa Mkuu wa Wilaya Mkoani Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Bibi SSP Sida Mohamed Himid kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kaskazini A Unguja katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya
uteuzi huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mohammed Faki Mohammed kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni
ya Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo
anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitatu,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment