Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na
Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu
Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama akiwa katika ziara
zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Wilaya ya Mfenesini.
Balozi wa Shina namba 36 Jimbola Mtoni Abdul-Aziz Salum akisoma risala ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Kichama
mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamuo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa Mgeni
rasmi katika Mkutano Maalum kwa Viongozi hao akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama katika Mikoa ya Unguja
Baadhi
ya Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Wilaya ya Mfenesini Kichama
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na
Viongozi hao katika Ukumbi wa Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere Bububu
Kihinani Mkoa wa Magharibi akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM Mikoa ya Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali
mbali alipofika katika viwanja vya Tawi la Chuo cha Mwalimu Nyerere
Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja
kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wa Wilaya ya Mfenesini
katika kuimarisha Chama katika wilaya hiyo. Picha na Ikulu.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment