Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akipigapicha ya pamoja na familia
ya Katibu wa Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa
alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja leo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Katibu mkuu
wa Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea
kwa ajili ya kumjulia hali, nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja
jana. Mh Lowassa alikuwa Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu
ya Krismasi.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kulia) akifurahia jambo na Katibu mkuu wa
Zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM, Sukwa Said Sukwa alipomtembelea
nyumbani kwake eneo la Mpendae, mjini Unguja jana. Mh Lowassa alikuwa
Zanzibar kwa mapumziko ya kusherekea skukuu ya Krismasi. Kushoto ni Mke
wa Sukwa, Fatma Mussa.
You might also like:
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment