Home » » Dk.Ali Mohamed Shein wahutubia Wananchi na Wana CCM KIBANDAMAITI UNGUJA

Dk.Ali Mohamed Shein wahutubia Wananchi na Wana CCM KIBANDAMAITI UNGUJA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

unnamed
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza  na Wananchi na WanaCCM  katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ikulu.]
unnamedd
1
Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
2

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa