Home » » Ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari

Ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe,Mohammed Aboud Mohmamed akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la Mzanzibari kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Michenzani Mjini Unguja leo,Picha na Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa