Home » » RAIS ​DK.SHEIN ​ ALIPOTEMBELA OFISI YA GAZETI LA ZANZIBAR LEO

RAIS ​DK.SHEIN ​ ALIPOTEMBELA OFISI YA GAZETI LA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mkuu wa Gazeti la   Zanzibar leo Nd,Ramadhan Makame (kushoto) wakati alipofanya ziara ya ghafla katika Idara hiyo iliyopo katika jengo la Studio ya Redio Zanzibar Rahaleo Mjini Unguja,​(wa kulia) katibu Mkuu wa Wizara ya Habar,Utalii,Utamaduni na Michezo,{Picha na Ikulu} 19/09/2016.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa