Home » » ZIARA YA RAIS KUTEMBELA SEHEMU MBALI MBALI PIA UJENZI WA HOTELI BWAWANI

ZIARA YA RAIS KUTEMBELA SEHEMU MBALI MBALI PIA UJENZI WA HOTELI BWAWANI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Idara ya Uvuvi katika Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe Mwinyi wakati alipotembelea Eneo lilatakalojengwa Soko la samaki,Malindi Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]19/09/2016.

0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa