Zanzibar Yetu
  • Home
skip to main | skip to sidebar
Home » » NAIBU WAZIRI MHE. MHANDISI MARYPRISCA MAHUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA

NAIBU WAZIRI MHE. MHANDISI MARYPRISCA MAHUNDI AMFARIJI RAIS SAMIA

Kizimkazi, Zanzibar | Septemba 8, 2026

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, ambaye pia ni Mbunge anayewakilisha Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, leo Septemba 8, 2026, amekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar, na kumpa pole kufuatia kifo cha Mwenza wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan.

 Mhe. Maryprisca amemfariji Rais Samia na familia yake kufuatia msiba huo, huku akitoa pole na kuwaombea moyo wa subira, uvumilivu na faraja katika kipindi hiki cha majonzi. 


 Mzee Hafidh Ameir Hassan alifariki dunia Septemba 7, 2026, wakati alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mzena na amezikwa siku hiyo hiyo Visiwani Zanzibar.

























at 9:39 PM
Email This BlogThis! Share to X Share to Facebook

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home

Please Share this Blog

Listen to Tone Radio-Tz

Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Powered by Blogger.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

  • NSSF YAIPONGEZA ZANZIBAR HEROES KWA USHINDI WA KOMBE LA MAPINDUZI
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, amepokea kiasi cha shilingi milioni 10 kutoka Mfuko wa Taif...
  • CUF, CCM Zanzibar washikana uchawi.
    Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  ...
  • RAIS MWINYI:SERIKALI INAJIPANGA UJENZI WA MAGHALA YA CHAKULA
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali inajipanga kwa Ujenzi wa Maghala ya Kuhif...
  • WATU WANAOSADIKIKA KUWA NI ASKARI JAMII WATUHUMIWA KUMPIGA MWANAMKE ZANZIBAR
    Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar WATU wanaosadikika ni askari jamii wamedaiwa kumpiga Mwanamke na kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za ...
  • Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kutajenga hospitali ya Mkoa maeneo
    SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itajenga hospitali kubwa ya Mkoa maeneo ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja...
  • MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR- KUFUNGUA TAMASHA LA UTAMADUNI-MAHONDA - KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR
          Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo itaendelea kuweka Mazingira bora ya kuendelez...
  • Maalim Seif: Jeshi la Polisi halitendi haki.
    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim ...
  • ZANZIBAR ISAIDIWE KUBORESHA HUDUMA ZA KIFEDHA
    Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.  Zanzibar ndiy...
  • HITMA YA MAREHEMU MZEE KARUME YASOMWA LEO ZANZIBAR
    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa...
  • RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA TAMASHA LA MWAKA KOGWA MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO 16-7-2024
    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya vyakula vya asili kutoka kwa Mzee wa M...

Blog Archive

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa