Home » » Aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ramadhan Abdulla Shaaban Akabidhi Wizara Kwa Waziri Mpya Wa Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna

Aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ramadhan Abdulla Shaaban Akabidhi Wizara Kwa Waziri Mpya Wa Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna


Aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ramadhan Abdulla Shaaban akizungumza machache kabla ya kukabidhi Ofisi Waziri mpya wa Wizara hiyo Ali Juma Shamhuna katika hafla iliyofanyika katika Ofisi hiyo huko Mazizini Zanzibar jana
Aliyekuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ramadhan Abdulla Shaaban (mweye kofia) akimkabidhi Ofisi Waziri mpya wa Wizara hiyo Ali Juma Shamhuna katika hafla iliyofanyika katika Ofisi hiyo huko Mazizini Zanzibar.
Picha na Hamad Hijja -MAELEZO Zanzibar


0 comments:

Post a Comment

 
Support by Blogs za Mikoa Tanzania
Copyright © 2012. Zanzibar Yetu - All Rights Reserved
Designed by by Blogs za Miikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa